Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Aibu kwa LGBT na Uingereza ,baada ya speech ya Raisi wa Fifa kuwachana Live walisagia kunguni sana mashindano ya mwaka huu kwa kushirikiana na Pundits wao wa mchongo kuwa hayatanoga na atakuwa ya hovyo kuwahi kutokea.

David Beckham sasa mitandaoni anasema vibaya na waingereza kila akipost kisa yeye kupromote mashindano ya Qatar ,sasa hivi hawaaamini macho yao wananuka aibu [emoji38][emoji38][emoji38]
Wivu tu Mbona mashindano yamenoga haswaa technology ya Hali ya juu snaa
 
Tiby hunter leo amebashiri matokeo sahihi ya cameroon 3-3 akabashiri ghana kushinda 3-2 na ubashiri uliobakia ni Brazil kufungwa 3-2 na ureno kusuluhu 4-4! Yapi maoni yako je itatokea kweli?
Duhhh ndio Nani huyo mtu? Ata kama hayo matokeo mengine hayatakuwa sahihi bado haibadirishi ukweli kuwa atakuwa kajitahidi sana kubashiri correct score
 
ANGALIZO
Alafu watu wengi humu wanawaita Cameroon simba wa teranga ni makosa kwani wao wanaitwa the indomitable lions, maana yake simba asiyeshindwa.
Senegal wanaitwa lions of teranga, maana yake simba wenye ukarimu!
Sitegemei tena kuona watu mkichanganya hao simba wawili tena.
 
Ghana wamecheza kikubwa kiasi, ila kuna makosa kwenye ulinzi sabu ya jordan ayew na kudus haikupaswa kufanyika.

Hawa wala chura wana balaa msako kama huu mara ya mwisho kuuona ni manzese, mwanajeshi anlipigwa na kuibiwa simu. 😂 😂
 
ANGALIZO
Alafu watu wengi humu wanawaita Cameroon simba wa teranga ni makosa kwani wao wanaitwa the indomitable lions, maana yake simba asiyeshindwa.
Senegal wanaitwa lions of teranga, maana yake simba wenye ukarimu!
Sitegemei tena kuona watu mkichanganya hao simba wawili tena.
Na moroco ni simba wa altasi
 
Back
Top Bottom