vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Huyo sijui km kaitwa timu ya taifa
Jmn camavinga yupo kweli? Lini anacheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jmn camavinga yupo kweli? Lini anacheza
Yupo Ila France ina watu hata hvyo bado chalii yule ana Muda kama makombe 4 ya dunia kuchezaJmn camavinga yupo kweli? Lini anacheza
Tena wakambeba juu juu kama Hero.. Asee iyo game Ghana inabid kama kufa uwanjan wafie tu.Mechi ya Ghana na Uruguay itakuwa sio tu muhimu kwa Ghana kusonga mbele bali muhimu zaidi kulipiza kisasi cha Suarez kudaka goli la wazi michuano ya 2010 na kuinyima Ghana kusonga mbele huku Wauruguay wakifurahia tukio hilo
View attachment 2429957
View attachment 2429959
Kadaka penalti
View attachment 2429965
Gyan kakosa penalti
View attachment 2429961
Uruguay wakafurahia
Hatari saana baba yangu 😂🤣[emoji23][emoji23]Dah kwmb msako wa namna iyo mara ya mwsh ilikua manzese sio..soldier alipigwa na kuibiwa simu.
[emoji23]Dah umetisha mwanang.Hatari saana baba yangu [emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuja kufa mzee
Nifundisheni kubet.Nakupenda mpira kote huku ila sijawahi kubet.naishangilia brazil leo kwa ajili ya mkeka wangu nje na apo NO WAY.
Please dont....dada ukianza hili jambo.....ahemmmmmNifundisheni kubet.Nakupenda mpira kote huku ila sijawahi kubet.
OkayAnaingia na timu yake kama kawaida lakini haruhusiwi kukaa kwenye benchi. Kuna viti maalum kwa dhararu kama hizi
Asante kwa kunisahisha, ulim hauna mfupa. Ila mm n dada 😂Ni atlas kaka.
Mali imeliwa,pole sanaPesa imekwenda lakini moyo una nusu furaha Ghana ni 💪🏽