Imagine Embolo anamchezea rafu Takuma wa JapanHilo jina la embolo kwa nini watangazaji wetu wasitafute ubunifu wa kulitamka limekaa kise nge
Haikozekani balance ya 20 mkuuHela ya kubet unayo?
Wazungu mbona wanalitamka vizuri wanasema imboulouHilo jina la embolo kwa nini watangazaji wetu wasitafute ubunifu wa kulitamka limekaa kise nge [emoji23]
Ndo ilivyoMpira wa siku hizi upo direct sana muda wa unao unao haupo tena
Ukirudi 2000s hiki kikosi chote kulikuwa hakna hadhi ya kuanza first eleven excluded silva,na golkipa
kweli kabisa mkuuMpira wa siku hizi upo direct sana muda wa unao unao haupo tena
Ukirudi 2000s hiki kikosi chote kulikuwa hakna hadhi ya kuanza first eleven excluded silva,casemiro,golkipa
Mpira wa kisasa huo...hivyo vipaji na uwezo binafsi ni ziada tu (kama kachumbari tu kwenye pilau ambayo sio lazima)Mpira wa siku hizi upo direct sana muda wa unao unao haupo tena
Ukirudi 2000s hiki kikosi chote kulikuwa hakna hadhi ya kuanza first eleven excluded silva,casemiro,golkipa
Switzerland ni watu na nusu aisee. Sio timu ya kui-underrate kabisa!Me Brazil ila mashambulizi Brazil anayopewa ni ya kiwango cha SGR