Kwa nini ?Ukiangalia njia yao nani wa kuwazuia. GROUP EFGH ndo watatoa team moja final.GROUP ABCD nao watatoa moja final.Spain na brazil hawafiki semifinal
Spain hana timu ya kumfunga Brazil timu tishio kwa brazil ni France na argentinaHalafu Brasil yupo njia ya kukutana na Spain.
Anything can happenBrasil hatapita kwa Spain .
Ureno leo anapigwa na UruguayUreno kama kawaida leo tunafuzu hatua inayofuata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Waniite saint Anne maria[emoji16]
YeahIyo miguno sasa
Game ya usiku unacheki?
Uzuri Brasil hakutani popote na France except kwenye final tu.Endapo wote watapita njia zao bila kutolewa.Spain hana timu ya kumfunga Brazil timu tishio kwa brazil ni France na argentina
Khe nauhakika hujawaona Spain mkuuSpain hana timu ya kumfunga Brazil timu tishio kwa brazil ni France na argentina
Kwa ile mid field kina Casemiro kazi watakuwa nayo.Anything can happen
Let's see
Unashabikia team gani niwe Against youYeah
Niko hapa kwenye kona ya sebule nasubiri mzigo uanze
Msema kweli ni mudaKwa ile mid field kina Casemiro kazi watakuwa nayo.
WazeeKwa ile mid field kina Casemiro kazi watakuwa nayo.
Brazil akikutana na timu zenye kaunta kama Ureno wanapigwaKwa nini ?Ukiangalia njia yao nani wa kuwazuia. GROUP EFGH ndo watatoa team moja final.GROUP ABCD nao watatoa moja final.
Yes brazil yuko njia na Spain lakini nakuhakikishia Spain Hana mpira wa kumfunga BrazilHalafu Brasil yupo njia ya kukutana na Spain.
Nishaziweka hapoUnashabikia team gani niwe Against you
Argentina anakaba nn?Yes brazil yuko njia na Spain lakini nakuhakikishia Spain Hana mpira wa kumfunga Brazil
Kwenye world cup hii team nnayoiogopa Ni Argentina coz wakiamua kukaba wanakaba kwel kwel
Ila uzuri ni kwamba Argentina yuko njia moja na France
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua brazil sio wazur sana kwa team zinazo defendOhoo leo kashinda kumbe! Sema uyu Brazil akikutana na Ghana anapigwa
Km umeangalia Game ya argentina na Mexico ndo utaelewaArgentina anakaba nn?
Anagongwa na Saudia?