Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yes brazil yuko njia na Spain lakini nakuhakikishia Spain Hana mpira wa kumfunga Brazil

Kwenye world cup hii team nnayoiogopa Ni Argentina coz wakiamua kukaba wanakaba kwel kwel

Ila uzuri ni kwamba Argentina yuko njia moja na France

Sent using Jamii Forums mobile app
Argentina anakaba nn?
Anagongwa na Saudia?
 
Back
Top Bottom