Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Game ambayo wengi tulidhani ingetoa hata 4goals, inaishia na kigoli kimoja tena cha mbinde? Mnaoangalia nini kinafanya Brazil wasifunge magoli mengi...japo waswiss sio wabaya, nilitegemea 2-1 au 3-1 hivi.
Hamuachi kuponda Ahh!
Brazil bingwa mpende msipende
Na ukichukia sana kula pilipili mbuzi ukalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…