Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ureno ni uchafuTunabeba hili kombe kimasihara kama ambavyo tulibeba euro 2016...na bahati nzuri sasa hivi wachezaji tunao tena wamekua kuliko 2016.
Na ukikasirika unaitwa mandoga mtu kaz[emoji16]Nizomee tu hakuna namna
Mimi ni Spain iwe jua liwe mvuaHueleweki 😎 😎
Kama muafrica nipo nyuma ya ureno ili Uruguay abaki na point moja yakechama uruguay
piga hao ureno hakuna team
Hamuachi kuponda Ahh!Game ambayo wengi tulidhani ingetoa hata 4goals, inaishia na kigoli kimoja tena cha mbinde? Mnaoangalia nini kinafanya Brazil wasifunge magoli mengi...japo waswiss sio wabaya, nilitegemea 2-1 au 3-1 hivi.
Uruguay hana timu bora hata portugalchama uruguay
piga hao ureno hakuna team
Mtoto ni mtoto tu hata umfunge mbeleko atabaki kuwa mtotoWamekosa bao
Tulia upigwe na timu yako hyo Uruguay ya wazeeUreno ni uchafu
Smart TV yuko kwenye internet anatumia chaches, huwa zinakuwa nyuma ya wakatiMe pia dstv
Na mpira ushaisha
We dstv gani hiyo?
Sioni Cameroon akimfunga Switzerland,Brazil kapita na anayefuata ni Swiss.
Watu wapo nyuma ya mdaCa
Cameroon na Switzerland walishacheza.
Niite joh kikojozi wakishinda mbiliUruguay anashinda goli 2, nimekaa pale
Aunt demba hapa💃💃💃Mbona unanifokea? Wewe unaitwa Anty nani? Maana mashoga uwa munajiita ma Anty..
Majina yote yakooNiite joh kikojozi wakishinda mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niite joh kikojozi wakishinda mbili