Tulia weweeeee 🤣Nyie mashabiki wa Brazil subirini Allison wetu alinde lango mshinde.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Numbisa kwani analizungumziaje hiliIvi ilikuaje Bruno akasajiliwa Man U. Ni moja kati ya sajili za maana manyumbu kuwahi kufanya. Hakutakiwa kuwa sehemu mbovu kama ile sawa na Casemiro
Hela hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitakiwa awe timu kali kama LiverIvi ilikuaje Bruno akasajiliwa Man U. Ni moja kati ya sajili za maana manyumbu kuwahi kufanya. Hakutakiwa kuwa sehemu mbovu kama ile sawa na Casemiro
Hela hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambiajee
Ndoo itabebwa na kikosi chenye mchezaji wa Chelsea na Arsenal.. 🤣🤣
Unadhani bila Allison wetu mngetoboa nyie?Tulia weweeeee 🤣
Wacheza ball wako kati
Mpira upo dk ya ngapi? Niwashe Tv au nitajisumbua 🤣?😂😂😂😂😂 Goodnight
Na Infantino😀😀refa tena apewe nyekundu nanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀😀😀 dahGhana wamecheza kikubwa kiasi, ila kuna makosa kwenye ulinzi sabu ya jordan ayew na kudus haikupaswa kufanyika.
Hawa wala chura wana balaa msako kama huu mara ya mwisho kuuona ni manzese, mwanajeshi anlipigwa na kuibiwa simu. 😂 😂
Wana nyimbo ngapi za taifa?Nyimbo ya taifa ya Uruguay kama kasingeli flani ivi
Yule Joe Depox waliachana baada ya Joe kuwa na Jeff, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zile picha za CR7 ni mbayaa, sema hakuandamwaaa sanaa, huwa najiulizaga mbna haaandamwi hata hivyo wengi washa sahau.Kule visiwani commoro alipoenda akapiga zile pic za kishoga hukuona eeh
Turudi mpirani kikubwa anawapatia raha dimbani mengine yake
Joe km Joe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bob risky alijishauaga sana ila Joe hakumuelewa, uwiiiiiiih
Kwa taarifa yako Gay wa kulipwa ili ajitangaze ni yule jamaa wa prison break. Yule hata mie nasema kajitangaza ili kuu promote ushoga, ila yeye sio shoga.Sasa ndugu yangu unadhani zile picha alipiga private kisha zikasambaa bahati mbaya? Picha zingine zinazoashiria kuwa jamaa ni gay ziko wapi?
Watu ambao wanapromote issue za ushoga wanatumia pesa nyingi sana kujaribu kuaminisha watu kuwa ni Jambo la kawaida
kuna baadhi ya mastar au watu wenye ushawishi mkubwa duniani hutumika kutengeneza controversial events kisha hizo events au pics kuwekwa kwenye majukwaa Yao, either website or magazine
Hawa watu maarufu sana duniani kila wanachofanya ni pesa, ukiishi Kwa kujudge maisha ya watu kupitia picha basi dunia ya leo kila mtu atakuwa gay
Mfano ni Kwa WizKid kupitia cover ya album yake ya made in Lagos, wengine kuona tu lile pozi aliloweka teyari wameanza kumshtumu kuwa jamaa ni gay bila kuwa na issue yoyote ile katika kuthibitisha hilo
Yani kupitia picha tu watu wana conclude hisia zao na kuaminisha watu wengine kuwa mawazo yao ni sahihi
Anyway, Vipi na hizi picha za ndugu yetu La Pulga zilipotoka na kutumika kwenye website za watu wa upinde uli judge vipi mwenzetu View attachment 2430173
Hariri kwanza hii presentation yako🤣🤣🤣🤣Unadhani bila Allison wetu mngetoboa nyie?
Magoli yangeingia kama nyuma ilivyotoba inavyopitisha Mvua
Acha wachokoaneoya kuna mtu kaingia na bendera ya mapunga[emoji1787]
Kuvunja au kufikia rekodi ndio muhimu kwakeRonaldo bwana ,anajua hajafunga ila kushangilia as if kafunga .Hapo lengo lake kaifikia record ya Eusebio magoal 9.