Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Umenifanya nimkumbuke Diego Forlàn.. Yale Mashuti yake WC 2010.
Jabulani was made for Diogo Forlan.

Ile ball wengi waliishindwa kuimaster isipokuwa Forlan pekee ndio aliiweza.

Kuna swali liliulizwa na Goal kuwa ni mpira upi(iliorozeshwa panoja na picha ya kila mpira) uliowasumbua wachezaji tangu kombe la Dunia lianze. Wengi waliutaja Jabulani
 
Andre na Jordan wote watoto wa Abeid Pele na ana miaka 32 na ni Captain wa timu ya Ghana
Jordan ana miaka 31 na anachezea Crystal Palace
Watoto mwingine wa Abeid Pele ni Ibrahim Ayew na Imani Ayew, Ibrahim Ayew ana miaka 34 (Kaka mkubwa) ambaye pia aliwahi kuichezea timu ya Taifa la Ghana na kwa sasa anaichezea timu ya Bruno's Magpies kwenye ligi ya Gibraltar (National League)
Last born wao anaitwa Imani Ayew au (Inaya) yeye ni msichana peke katika familia ya watoto wanne wa Abeid Pele na yeye anajishughulisha na fashion tofauti na kaka zake watatu ambao wamejikita kwenye mpira wa miguu
1669698370296.png
 
Yule Joe Depox waliachana baada ya Joe kuwa na Jeff, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zile picha za CR7 ni mbayaa, sema hakuandamwaaa sanaa, huwa najiulizaga mbna haaandamwi hata hivyo wengi washa sahau.

Utasikia wengine mbna kaoa na ana watoto, utadhan wameambiwa shoga hawezi oa au kuzalisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada unajuwaa Sana hz hbr ,by the way Jana naona ulimkimbizia Ronaldo bendera
 
Joe km Joe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bob risky alijishauaga sana ila Joe hakumuelewa, uwiiiiiiih
Sasa unalia nni rfk angu ,uwiii kbsaa aisee unaharibu Uzi wetu wa FIFA

Nenda kafungue Uzi wako tuje tukusikilize
 
Round 3 imeanza
Mechi zote za kundi husika muda mmoja kuzuia upangaji matokeo
 
Back
Top Bottom