Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mm Wala sioni shida ya Ronaldo wala messi Ni chuki tu kwa mafanikio yake ndio husda kwa wengi ila mm mreno Yuko Safi Sana nampenda Sana Kama nilivyompendaga Luis Figo enzi hzo
Kwa nn asisemwe Messi kama ni chuki tu?
Mapenzi kwa mtu yasiwapofushe na kuukataa ukweli
 
Kwa taarifa yako Gay wa kulipwa ili ajitangaze ni yule jamaa wa prison break. Yule hata mie nasema kajitangaza ili kuu promote ushoga, ila yeye sio shoga.

Cr7 ni chakulaaaaaaa tangu mdaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umekomalia mada zako sasa
[emoji1] soka hakuna tena

Ova
 
Andre na Jordan wote watoto wa Abeid Pele na ana miaka 32 na ni Captain wa timu ya Ghana
Jordan ana miaka 31 na anachezea Crystal Palace
Watoto mwingine wa Abeid Pele ni Ibrahim Ayew na Imani Ayew, Ibrahim Ayew ana miaka 34 (Kaka mkubwa) ambaye pia aliwahi kuichezea timu ya Taifa la Ghana na kwa sasa anaichezea timu ya Bruno's Magpies kwenye ligi ya Gibraltar (National League)
Last born wao anaitwa Imani Ayew au (Inaya) yeye ni msichana peke katika familia ya watoto wanne wa Abeid Pele na yeye anajishughulisha na fashion tofauti na kaka zake watatu ambao wamejikita kwenye mpira wa miguu
View attachment 2430421
Huyu tolu anaendana na Twaha kiduku

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20221129-082305.jpg
    Screenshot_20221129-082305.jpg
    55.6 KB · Views: 3
Inaingia akili maana kuna mtoto alizaa mkewe kwenye chupa means hawakukutana kimwili
Wazungu maisha yao ni ya ajabu sana
Mnaweza ishi nyumba moja kwa sababu maalumu tu na kila mtu akawa na wake ampendae so wao kuishi pamoja na mkewe me bado kwangu sio sababu ya msingi.
 
Back
Top Bottom