Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Kwa nn asisemwe Messi kama ni chuki tu?Mm Wala sioni shida ya Ronaldo wala messi Ni chuki tu kwa mafanikio yake ndio husda kwa wengi ila mm mreno Yuko Safi Sana nampenda Sana Kama nilivyompendaga Luis Figo enzi hzo
Mapenzi kwa mtu yasiwapofushe na kuukataa ukweli