Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hii mechi ya Iran vs USA itakiwa mbinde naona mpaka uhasama wa kisiasa wa mataifa haya 2 uta play part.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajikaze hivyohivyo washindeHii mechi ya Iran vs USA itakiwa mbinde naona mpaka uhasama wa kisiasa wa mataifa haya 2 uta play part.
Senegal unamweka wap??1.Morocco
2.Ghana
Cameroon huyu nayemjua akawafunge Wale masharobaro wapenda sifa
Haitokuja kutokea
senegal wakiwa serious hii mechi wanatoboaVip Senegal leo anaweza pata ushindi dhidi ya Ecuador?
Maana anatakiwa kushinda ili kufuzu
uyo kibonde unayemsema amekutana na uruguay mechi imeisha siyo suarez,darwin nunez wala valvede aliyepiga shot on target ata moja na ndio mechi ya kwanza kwenye WC hii kuisha bila shot on target[emoji16][emoji16]Bora wangetuwakilisha Egypt na Algeria, na sio cameroon na tunisia, hata huyo ghana hamna kitu, hapo amekutana na kibonde akampiga 2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ratiba nzima iyo apo ukiona neno FTA ndio ambayo TBC wanaonesha.Oya wale wenzangu wa tbc leo mechi ipi inaonyeshwa?
uyo kibonde unayemsema amekutana na uruguay mechi imeisha siyo suarez,darwin nunez wala valvede aliyepiga shot on target ata moja na ndio mechi ya kwanza kwenye WC hii kuisha bila shot on target[emoji16][emoji16]
Kwa mpira upi alioano Iran?Irani atamfunga USA
Hii kwangu naiona kama ni Derby ya aina yakesenegal wakiwa serious hii mechi wanatoboa
Kwenye timu zote za africa timu ambayo kidogo inamechi easy ni moroco kwakuwa tayari Canada wameshatoka waliobaki lazima wakaze sana ili wapiteKila la heri kwao mzee baba
senegal wakiwa serious hii mechi wanatoboa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu hukooo.Unachekea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usikute mtu alimaindi kisa kuambiwa Ronaldo punga
Hata humu huoni watu walivyofura ..sasa tungekuwa live unadhan ingekuwaje? Yani mtu hata hamjui ila anavyojitutumua tugombane kaaahusikute mtu alimaindi kisa kuambiwa Ronaldo punga
Mbona kichekoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema unayumba jikaze kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu hukooo.
Anashangaza sanaMbona kichekoo