Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata humu huoni watu walivyofura ..sasa tungekuwa live unadhan ingekuwaje? Yani mtu hata hamjui ila anavyojitutumua tugombane kaaah
Sema amenikuta na mm huwa sio mtu wa kugombana kiviile nikiwa jf.
Mimi nawalipuaga tu akijaa anajazwa
 
Definitely...
When everyone Complaining about Jabulani....Forlàn mastered the ball...

Hivi Jabulani si Adidas hao?
 
Uyo sio tu mtetezi ni mmoja wao huoni vicheko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tenaaaaa? Sasa unataka nilie akat cna cha kuniliza? Km huna furaha ni wee, usitake na wengine wawe km wee.
 
Mtu a mind kisa cr7 n punga, kwan mwili ni wake? Akat hata cr7 enyewe hamjui na hajui km kuna mtu ana mzimikia hvyo,

Wabongo kazi ipo.
Wabongo hawapendi kupingwa au utofauti
Si umeskia jana wapo waliolala rumande kisa mechi ya jana usiku 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani maskini watu wanamchukia Ronaldo bila sabubu mtu mwenye akijui Wala Hana hbr na ss Ila anachukiwa tu siyo sawa Hilo
Mesi na Ronaldo Ni watu POA Sana wanamafanikia makubwa ktk mipira
 
Wabongo hawapendi kupingwa au utofauti
Si umeskia jana wapo waliolala rumande kisa mechi ya jana usiku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo kwa kweli, uwiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo kwa kweli, uwiiiih
Yani watu wanacheza katar
Sio hata timu ya nchi yako
Wakishinda au wakikosa faida ni kwa nchi zao
Wewe ugombane au ujinunishe humu kisa mtu amesemwa?
🤣🤣🤣
Ntawatibua makusudi maana nshawajua hawana kifua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…