vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Hauko peke yako mkuuPumbafu Tanesco
PolePumbafu Tanesco
Na ninyi mnabana nini[emoji3][emoji3][emoji3]Mnoooo,wenye pumbu zenu mzibane vizur kwakwel[emoji3061]
Senegal walitakiwa wawe mbele kwa goli zaidi ya 3, hili moja naamini watapata tabu sana kulilinda kipindi cha pili.
Hata tano mkuu... daah Sadio Mane mambo yake hayaIlibidi senegal iwe na goli tatu sasa..
Endelea kwenye simSikuwahi kuonja maumivu ya kukatiwa umeme katikati ya mechi.
Leo nimeyaonja, inauma sana, Tanesco wajinga sana
Senegal ilitakiwa wawe mbele angalau hata kwa goli mbili. Wamekosa nafasi mbili za wazi mno.Sasa hapa pira litaanza kupigwa, maana Ecuador walikuwa wanatafuta sare.
Tatizo la monopoly ndio hiloSikuwahi kuonja maumivu ya kukatiwa umeme katikati ya mechi.
Leo nimeyaonja, inauma sana, Tanesco wajinga sana
Hahah mwshon wakapatana
MiguuNa ninyi mnabana nini[emoji3][emoji3][emoji3]
Its Never Over until its Over....Naona maruban wa Ecuador wapo tayari kwa safari
KumbeeeNdugu zetu wa mbali hawa
Hawa jamaaa wangese sana walikuwa natafuta draw kwa kutulia....mie nilitegemea bonge la mechi wao wanacheza kama wana mwiko matakoniKipindi cha pili tutashuhudia mechi kali ambayo haijachezwa toka mashindano yaanze
Wanaodhani mechi ya iran na USA wanajidanganya tu
Mechi hizi wanasaikolijia washawatibu wachezaji
Itakuwa ni tactical game na sio ya mihemko
Kabisa. Wamekosa goli mbili za wazi. Wakirudi inabidi wakazane wapate goli la pili halafu warudi nyuma kusubiri counter attack.Ilibidi senegal iwe na goli tatu sasa..
Pole sana mkuu.Sikuwahi kuonja maumivu ya kukatiwa umeme katikati ya mechi.
Leo nimeyaonja, inauma sana, Tanesco wajinga sana
Timu yao siyo nzuri ya kutisha. Hata goli tatu Senegal wakitulia watawapiga.Sadio Mane ni fundi... hawa Ecuador wanafungika kabisa