Sababu za Onana kusimamishwa kwa muda hii hapa:
Kocha alimshauri aache tabia ya kucheza nje ya box yake yeye akakataa
Onana ana touches 61 nje ya box zaidi ya makipa wote wanaoshiriki World Cup 2022
Hata mimi niliona hiyo, Onana alifikia wakati anawanyang'anya mabeki mpira na yeye ndie wa kupasi mbele. Nyakati zingine yeye anakuwa mbelke ya mabeki anacheza mpira hadi katikati ya uwanja na kuacha goli bila ulinzi. Na hii amefanya kwa muda mrefu
Sasa Song ameona huu udhaifu timu zikigundua wanaweza wakawanyeeshea mvua ya magoli
View attachment 2430942