raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Hao Egypt na Algeria wangekuwa bora kama mnavyodai wangefuzu kucheza hii michuano.
Sawa senegal nao wamekaa nyuma but yale mabadiliko kocha wa ekwado kafanya yalikuwa necessaryWamefanikiwa au sababu senegal wameamua kukaa nyuma hizi dkk kumi za mwanzo
Senegal wameshinda ila kwa staili hii ya mpira hawafiki mbali
Leo senegal ana kibarua kigumu
Mzeee Baba, Mbona Kama Unashangilia [emoji3]Siii nilisema watapata goli hawa....kocha wa ekwadoo nomaaaaa
Sawa[emoji102].Sasa hapa hawa wame manage game vipi. Bro kupata draw inabidi nawe upambane. Wana mpira wanacheza just to feet, ona wenzao senegal runs in behind, overloads by fullbacks. Hawa ekwado yule fullback wao manywele kwanza kule saar kashamzidi. Huku upande wa estupian anapigwa mande na huyu shombesshombe na sabaly.
Striker wa ekwado hajagusa mpira anaruka ruka tuu.