Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sasa hapa hawa wame manage game vipi. Bro kupata draw inabidi nawe upambane. Wana mpira wanacheza just to feet, ona wenzao senegal runs in behind, overloads by fullbacks. Hawa ekwado yule fullback wao manywele kwanza kule saar kashamzidi. Huku upande wa estupian anapigwa mande na huyu shombesshombe na sabaly.
Striker wa ekwado hajagusa mpira anaruka ruka tuu.
Sawa[emoji102].
 
Back
Top Bottom