Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nikajua shem kashika simuSamaleko[emoji28]
Nakosa uhondoooBonge la penatiiiii
Mzungu nyoko bwana yuwaache kabisaAiseee hawa majamaa wana tech ya kutisha
Mwanzo nilidhani ni mbeleko ila hii review ya 3D iliyoonesha offside nimewavulia shati
Kweli mzungu hakosei
Shuti la kinyonge ila lina matesoBonge la penatiiiii
Ile ilikuwa ni clear offside.Mcheza kwao hutunzwa
Watapigwa km ngoma leoWenyeji leo watapigwa goli 3
MmmmmhMe nimecheki Live kwa simu nimekuta kiswahili namba 222
Ngoja nijaribu 223
Kawaida sana ujaona offside za mtu kuzidi kidoleOffside imeoneshwa eti kazidi mguu
Kweli mkuu,hata mimi nilikuwa nimehisi vibaya!Hahaha raia mnajifanya kuzijua sana sheria (ujuaji wa kibongo), wakati wakileta vipimo inaonekana kamguu kalizii kidogo, huku hakuna mambo ya kibinadamu[emoji23]
Hiyo hapo penalty, hiyo ndio ya halali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikajua shem kashika simu