Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

VAR ilitudanganya hapa
51581DCF-A238-48E4-8165-37BF193EF834.jpeg
 
Hahaha raia mnajifanya kuzijua sana sheria (ujuaji wa kibongo), wakati wakileta vipimo inaonekana kamguu kalizii kidogo, huku hakuna mambo ya kibinadamu[emoji23]

Hiyo hapo penalty, hiyo ndio ya halali.
Kweli mkuu,hata mimi nilikuwa nimehisi vibaya!
 
Back
Top Bottom