Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Leo England akishinda ataongoza kundi maana yake atakutana na Senegal..ikatokea ss Senegal kamtoa England na France akapita Wanaweza kutana Quarter Final.
Anhaa okay na Ghana nae akiwa wa pili atakutana na Brazil si ndio
 
Kuna wale walioandamana na kuharibu haribu huko kwao baada ya kufungwa na Cameroon Sijui ni Morroco ile jana vipi hali yao ipoje?? Wameingia 16 bora au bado kumalizia makundi???
Walioandamana ni walioshinda, Morocco kwenye Nchi nyingi za ulaya wana Mamafia wa kutosha, makundi ya Majambazi na wahuni yanayofadhiliwa na Serikali za ulaya.

So Morocco kamfunga Ubelgiji wale wahuni wa Kimorocco huko Ubelgiji wakaingia mtaani na kufanya fujo.
 
Walioandamana ni walioshinda, Morocco kwenye Nchi nyingi za ulaya wana Mamafia wa kutosha, makundi ya Majambazi na wahuni yanayofadhiliwa na Serikali za ulaya.

So Morocco kamfunga Ubelgiji wale wahuni wa Kimorocco huko Ubelgiji wakaingia mtaani na kufanya fujo.
Ahaaaa asante kwa ufafanuzi mkuu Barikiwa sana!!
 
Mungu asaidie wajipange vizuri Jamani! Tunawaamini
Hata Mimi natamani hivyo, ila kwa afrika Bado tunahitaji uwekezaji mkubwa sana kwenye mpira Ili tupate matokeo tunayotaka
Pia tunaridhika haraka Sana mechi yao ya kwanaza walicheza vizuri sana wakaridhika wakasahau kufunga wakafungwa
Mechi ya Leo wamefunga Moja wakajisahau wakaridhika wakaanza kucheza Mpira wa hovyo , so safari bado ndefu aissee
 
Hata dakika mbili hazijaisha tangia useme wewe ni team Wales, tayari umehamia England?

Wanawake mko na nini lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alooo nmecheka,hapana jaman sikujua kama wales kushinda ni LAZIMA afunge goli 4 kuendelea. Sasa siwaon wakichomoka hapo
 
Senegal
Ghana
Morocco
Zote wanafuzu kwenda round of 16.


Nimependa mashabiki timu za Afrika ya Kaskazini wanatoa sapoti kwa timu zingine za Afrika. What a love!
Huu hapa utabiri wangu:
1. Netherlands vs USA
2. Argentina vs Denmark
3. France vs Mexico
4. England vs Senegal (confirmed)
5. Spain vs Morocco
6. Brazil vs Uruguay
7. Croatia vs Germany
8. Portugal vs Switzeland
 
Back
Top Bottom