Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hata dakika mbili hazijaisha tangia useme wewe ni team Wales, tayari umehamia England?Bas imeisha hyooo England atazichapa na senegal,Wales bye bye
Wales hawawez kufuzu hadi wamfunge England goal 7Jaman si wales washinde ili wakutane na senegal tuwaburuze au[emoji848]
Nimerudi bestieee
Mapema ndo imeshapitaIla Senegal wasipobadilika watatolewa mapema sana, waafrika tunaridhikika haraka sana
Mungu asaidie wajipange vizuri Jamani! TunawaaminiIla Senegal wasipobadilika watatolewa mapema sana, waafrika tunaridhikika haraka sana
Kwa hii mechi ya Senegal ya Leo sidhani kama watatoboa kwa EnglandUna mawazo mazuri. Ila hayawekezekani. Mtakutana na sisi tutawakandamiza.
Mie sinaga unafki wa kusema huyu Mwafrika. Senegal ombeni sana.
Anhaa okay na Ghana nae akiwa wa pili atakutana na Brazil si ndioLeo England akishinda ataongoza kundi maana yake atakutana na Senegal..ikatokea ss Senegal kamtoa England na France akapita Wanaweza kutana Quarter Final.
Walioandamana ni walioshinda, Morocco kwenye Nchi nyingi za ulaya wana Mamafia wa kutosha, makundi ya Majambazi na wahuni yanayofadhiliwa na Serikali za ulaya.Kuna wale walioandamana na kuharibu haribu huko kwao baada ya kufungwa na Cameroon Sijui ni Morroco ile jana vipi hali yao ipoje?? Wameingia 16 bora au bado kumalizia makundi???
Ngoja tuone mechi ya mwisho itakuajeGreatest Of All Time vipi mkuu Leo Argentina tutatoka kweli kwa mifumo ile ya yule kocha?
Ahaaaa asante kwa ufafanuzi mkuu Barikiwa sana!!Walioandamana ni walioshinda, Morocco kwenye Nchi nyingi za ulaya wana Mamafia wa kutosha, makundi ya Majambazi na wahuni yanayofadhiliwa na Serikali za ulaya.
So Morocco kamfunga Ubelgiji wale wahuni wa Kimorocco huko Ubelgiji wakaingia mtaani na kufanya fujo.
Huna uzalendo ww unaangalia tu mkeka wakoUna mawazo mazuri. Ila hayawekezekani. Mtakutana na sisi tutawakandamiza.
Mie sinaga unafki wa kusema huyu Mwafrika. Senegal ombeni sana.
Hata Mimi natamani hivyo, ila kwa afrika Bado tunahitaji uwekezaji mkubwa sana kwenye mpira Ili tupate matokeo tunayotakaMungu asaidie wajipange vizuri Jamani! Tunawaamini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alooo nmecheka,hapana jaman sikujua kama wales kushinda ni LAZIMA afunge goli 4 kuendelea. Sasa siwaon wakichomoka hapoHata dakika mbili hazijaisha tangia useme wewe ni team Wales, tayari umehamia England?
Wanawake mko na nini lakini?
4 bana usiwape mzigo mzto hvoWales hawawez kufuzu hadi wamfunge England goal 7
Hakika watakutana na Brazil.Anhaa okay na Ghana nae akiwa wa pili atakutana na Brazil si ndio
Kwamba 4-4 au 7-7 [emoji1787]Timu wales naamini tutapata sare inshalah
Huu hapa utabiri wangu:Senegal
Ghana
Morocco
Zote wanafuzu kwenda round of 16.
Nimependa mashabiki timu za Afrika ya Kaskazini wanatoa sapoti kwa timu zingine za Afrika. What a love!