Usimsaha Ronaldo mkuu[emoji41]So far, United players has perfomed so well on the World Cup.
Bruno [emoji91][emoji91]
Maguire [emoji91]
Rashidi [emoji91]
Casemiro [emoji91][emoji91]
Fred [emoji91]
Udini hadi kwenye mpira duuuh [emoji15][emoji23]Iran imekuaje tena dahh [emoji22][emoji22]
Hapana mke ni huyo huyo Clara Wear mama wa watoto wawili George Wear Jr na Timothy Wear. Tanzania tu ndiyo wanasiasa Wana roho mbaya sana. Hawataki uraia pacha.Kwaiyo baba ake ana mke mwengine?
Wale wamepata goli gani mkuuFodennnnnnn
Eng 2 Wales 1
Hatumtaki. Si mchezaji wetu.Usimsaha Ronaldo mkuu[emoji41]
wales???Fodennnnnnn
Eng 2 Wales 1
Tunaelewa vizuri afu sie hatuongelei makundi asee tushatoka huko tunasemea Senegal na England ArifNaona wote na hyo mwana hamjajuwa kuwa hi siyo mtoano [emoji23][emoji23]
Hkn matuta Hap labda itoke penat tu kwa vyovyote itakavyo kuwa Hakuna kupigiana matuta
HAhahahehe unaangalia mupira kupitia TBC heheh bora uskize kupitiya rediyo tu, afu ata ufananii kuangaliya TBC 🤣🤣🤣🤣
Nimetype huku naangalia kideo.Wale wamepata goli gani mkuu
Kudadadeki, si nimewaomba link au app ya kuangalia mpira kombe la dunia ila mmemiuti, sasa unaniambia niangalie kutumia darubini [emoji848][emoji35]Angalieni mechi ya USA vs Iran. Kali sana na nzuri
Hapa Senegal na U.S.A watafuzuSENEGAL [emoji1211] Vs ENGLAND [emoji636]
NETHERLANDS [emoji1179] Vs USA [emoji631]
Ohoo hii kisiasa imekaaje? Kama muke akigombeya uraisi inakuwaaje?No mke ni huyo huyo mama wa watoto watatu. Tanzania tu ndiyo wanasiasa Wana roho mbaya sana. Hawataki uraia pacha.
Uwe walau hata unakuwa na aibu.Hapa Senegal na U.S.A watafuzu
Ooh sawaaa Antonia guteresiTunaelewa vizuri afu sie hatuongelei makundi asee tushatoka huko tunasemea Senegal na England Arif