Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mi naona Kama hyo mechi itaishia kwenye matuta
Hatariiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatariiiiiiiii
Mwenyewe nashangaa watu kuangalia mechi ya ndugu wakaacha mpambano wa kikatiri. Iran wanasema death to USA and Zion.[/QUOTE]Unadhani tunapenda?Angalieni mechi ya USA vs Iran. Kali sana na nzuri
Matuta yapi tena mkuu?Mi naona Kama hyo mechi itaishia kwenye matuta
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!Kila mtu anasababu yake inayomgusa kwanini ashabikie timu za mataifa mengine wakati taifa lake halishiriki
Mi nashangilia USA hawa ndio wanaotupa misaada ya ndomu kupunguza maambukizi ya ukimwi
Sahih kbsa unatoka wapi na wa iran wapuuzi hvyoKila mtu anasababu yake inayomgusa kwanini ashabikie timu za mataifa mengine wakati taifa lake halishiriki
Mi nashangilia USA hawa ndio wanaotupa misaada ya ndomu kupunguza maambukizi ya ukimwi
Drones ni vita, wakati ndoms ni upendoMkuu hiyo sababu yako Ni kishenzi Sana kudadeki 😂
Mkuu ulikuwa unategemea U.S.A wafungwe na makinda ya Iran surely?Iran imekuaje tena dahh [emoji22][emoji22]
Mtt wa Weah anajua sana mpr,Ana kasi na movement nzr on and off ball.Huyu mtoto wa weah hatar sana kwa ile angle kapeleka mpira ndani japo sio goli
Mm Niko na wew mkuuDrones ni vita, wakati ndoms ni upendo
Sasa mi unipe drones zanini kwani mi Rambo?
Kuna watu ndio wanajifunza mupiraMatuta yapi tena mkuu?
Yule Weah anakipiga sio utaniMtt wa Weah anajua sana mpr,Ana kasi na movement nzr on and off ball.
Yule mpigaji pass ndo kachelewa kutoa had akawa slightly slightly offside,lkn ilikua bonge ya finish kwl ile tight angle.
Nyie wenzetu lbd mnaangalia kwa macho mengne lkn Mtt wa Weah mzr sana ndo maana ni 1st 11..hata game ya Wales na England alicheza vzr.Anachezea jina. Sioni kama ni mchezaji wa kiwango.
Hamnaa 90' lazima kitaelewekaaa tu mkuuMi naona Kama hyo mechi itaishia kwenye matuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu ndio wanajifunza mupira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya bhna jamaa anajuwa mtoano huuMatuta yapi tena mkuu?
Iv uyo dgo keshachukua uraia wa marekani?Mtt wa Weah anajua sana mpr,Ana kasi na movement nzr on and off ball.
Yule mpigaji pass ndo kachelewa kutoa had akawa slightly slightly offside,lkn ilikua bonge ya finish kwl ile tight angle.
Sana tu unakuta team ishatoka inaweza pewa bahasha kwa kuangalia matokeo ya mechi iliyoisha so kuepusha game za kundi moja ni mda mmojaKumbeeee,nkafkr wao wamenyooka hawanaga mbambamba kumbe hata huko bahasha zinatembea