Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaonesha mechi gani?Tunaoangalia Tbc1 Tunateseka sana inaganda sjui tatizo nini
Ehe upo serious mbona naanza kuogopa[emoji846]Sawa naita Uber
Watu wengi wanafanya makosa kum underestimate MarekaniYaani nimehama chanel na goli ndo linafungwa
Eng v WalWanaonesha mechi gani?
Kwa Tibisi hiyo kawaidaNaangalia TBC1 hapa dah mateso sio ya kitoto
Kumbeeee,nkafkr wao wamenyooka hawanaga mbambamba kumbe hata huko bahasha zinatembeaIvi mechi za mwisho ndo zakuamua nani afuzu nani asifuzu so zikichezwa mda tofauti kutakuwa na upangaji wa matokeo uamzi sahihi kila kundi ni kupewa mda mmoja siokusubiriana
.wakicheza mda tofauti yatatokea ma ufisadi
Nataka nilale tu maana tv haionyeshiNaangalia TBC1 hapa dah mateso sio ya kitoto