Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na IhefuNa ecuador je watakutana na nani au ndo imeisha hyo?
Mkuu fanya ulicheki bonge la game.Hyo game ndio naitaka
Aliou Cisse:Wabongo kwenye Ubora wao, mtu kawapa Afcon mbele ya Egpty, kafuzu World cup na kawavusha 16 bora wanasema sio kocha mzuri
Karibuuu tena
Tuendeleze gurudumu la kuhama team mpaka tupate kombe.
Leo Kuna mechi za kihistoria, ndugu Kwa ndugu na adui Kwa adui. Amaizing20'
Watoto wa Malkia bado hawajafungana
Kwa hisani ya IhefuAiseee usiku wa burudani
Naunga mkono hojaUSA kwenye world cup ni mwepesi sana,
Yuko vizuri Olympic
Tunaangalia EnglandMpira Gani mnaoangalia nyie? Sisi tupo na baba lao USA akimfundisha mpira Muajemi.
Mpira ni maisha..Leo Kuna mechi za kihistoria, ndugu Kwa ndugu na adui Kwa adui. Amaizing
Hi game leo IPO njje ya uwezo wangu acha nitazame EnglandMkuu fanya ulicheki bonge la game.
Ivi mechi za mwisho ndo zakuamua nani afuzu nani asifuzu so zikichezwa mda tofauti kutakuwa na upangaji wa matokeo uamzi sahihi kila kundi ni kupewa mda mmoja siokusubirianaKwann iwe leo mbona walivoanza haikua hvo
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Aliou Cisse:
Kafika round ya 16 WC kama mchezaji(2002) na kama kocha(2022) wa Senegal
Tupongeze mafanikio haya
Neti tayariShusha neti
Ya mtandao gani?Neti tayari
Yaa mm nawatizama ndugu[emoji41]Leo Kuna mechi za kihistoria, ndugu Kwa ndugu na adui Kwa adui. Amaizing
Wa ihefuYa mtandao gani?