Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #11,781
Hakuna namnaMwaka huu kiatu atavaa hicho hcho chake[emoji23]
Dakika Moja nyingi jingineee England halloww 🙌
Swali la kipumbavu Chelsea fans sometimes ni headless chickenKwaiyo baba ake ana mke mwengine?
Mnamchukia hutu jamaa Sana kwa kweli.And F.Y.I he was the man of match in their last clash against the U.S.AMaguire almanusra afungishe huyu boya
Hakuna cha bure duniani Ndugu yangu, biashara kama biashara zingine tu sema sababu S/kali yako ndiyo inabeba huo mzigo huwezijua hata kinachoendelea.Kila mtu anasababu yake inayomgusa kwanini ashabikie timu za mataifa mengine wakati taifa lake halishiriki
Mi nashangilia USA hawa ndio wanaotupa misaada ya ndomu kupunguza maambukizi ya ukimwi
Wales na England ni kama acheze Tanganyika na Zanzibar. Mmoja Kaka mweingine DadaWales nao hawana maajab
Nimeamua niangalie kwenye app.HAhahahehe unaangalia mupira kupitia TBC heheh bora uskize kupitiya rediyo tu, afu ata ufananii kuangaliya TBC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haina adhari zozote mkuu. Liberia hawana ujinga Kama wa Tanzania kukataa uraia pacha.Ohoo hii kisiasa imekaaje? Kama muke akigombeya uraisi inakuwaaje?
Uwe walau hata unakuwa na aibu.
Senegal amfunge England?
Free header ile angeweza kufunga bila kipa kuichezaMnamchukia hutu jamaa Sana kwa kweli.And F.Y.I he was the man of match in their last clash against the U.S.A
Sijaona kosa la Maguire bas tu anachukiwa mno Hadi na waswahili wa buzaMnamchukia hutu jamaa Sana kwa kweli.And F.Y.I he was the man of match in their last clash against the U.S.A
WC hii tu ndio hawapo vizuri,Irani ni moja kati ya timu Kali sana upande wa Asia.Mkuu ulikuwa unategemea U.S.A wafungwe na makinda ya Iran surely?
Unataka kuilinganisha England na Ecuador? Aisee!Shida ya miAfrica inapenda ubishi tu, Kama France iliwahi kufungwa na hii Senegal na vipi kuhusu England, usiilinganishe hii Wales na Senegal.
Free header ile angeweza kufunga bila kipa kuicheza
Lazima tumseme kwa risk hiyo