Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Unaona wachezaji wa leo?

Mpaka sasa naamini siku ile game ilikuwa fixed. Yaani Mount na Sterling walikuwa kama wamefungwa kilo tatu miguuni. Hakuna kitu.

Wachezaji wamerelax mno siku ile. Hawajali
Kwenye mechi gani?

Ile na USA?
 
Juzi nikasema ngoja nikaze na TBC kizalendo, daaah.

Goli likifungwa sioni limeingiaje nyavuni, mpaka likirudiwa ndo naliona flesh, nikasema isiwe tabu.
 
England wamekosa bao la 4 hapa

Kwenye sehemu kama zile sijui hawamuonagi Chama?
 
Back
Top Bottom