Kwahyo wameotea na imekuwa batili siyoDrones zimekutwa jstika eneo la kuotea, line two ana raise flag
Mkuu,Hawa England sioni game yao hata, hapa wamepata tu mteremko maana Ecuador Ni wazuri kuliko Wales na Iran.Unataka kuilinganisha England na Ecuador? Aisee!
Sawa, tuwekeane dau
Waelekeze mzee mm nimechoka kuwambia waache chuki kwa MaguireHukuwa na haja ya kumwita boya, jamaa anaisaidia Sana England,shida yenu mnapenda kuongelea negative side ya mtu bila kuangalia the positive side.
Wazungu huko wanamsifia kwa juhudi zake za kuisaidia timu Yake afu Kuna miAfrika huku inampondea.Waelekeze mzee mm nimechoka kuwambia waache chuki kwa Maguire
Mpira umepita tobo kwa beki hadi kipaRashidiiiiiiiii
Wacha wakoze tu babu pumbafu zao na drone zaoIran wamekosa goli hapa ilikuwa nafasi nzuri sana
Jamaa ni fundiMpira umepita tobo kwa beki hadi kipa
Unaona wachezaji wa leo?Mpira umepita tobo kwa beki hadi kipa