SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 968
- 1,022
Inamlalamikia Maguire had huku kwenye bar kila akigusa mpira UTASIKIA Maguire boya tu.Wazungu huko wanamsifia kwa juhudi zake za kuisaidia timu Yake afu Kuna miAfrika huku inampondea.
Ndege ya kwanza saa 12:15 am wataondoka nayo pmj na ecuardoTimu ya Wales yenywewe imejaa mizee Kama Aaron Ramsey, Gareth Bale, Joe Allen na wengine afu Kuna watu walitegemea ishindi hi mechi.
mpira uishe tu waende nyumbani.
Mwisho upi Sasa? Jamani acheni kuifananisha Wales na Senegal, Hawa Wales wanaweza wakafungwa na Taifa Stars.Nikiangalia hawa waingereza eti ndo wanakutana na senegal nauona mwisho wa senegal
Kwenye mechi gani?Unaona wachezaji wa leo?
Mpaka sasa naamini siku ile game ilikuwa fixed. Yaani Mount na Sterling walikuwa kama wamefungwa kilo tatu miguuni. Hakuna kitu.
Wachezaji wamerelax mno siku ile. Hawajali
Kwani Senegal bado hawajapitaNikiangalia hawa waingereza eti ndo wanakutana na senegal nauona mwisho wa senegal
Ndege ya kwanza saa 12:15 am wataondoka nayo pmj na ecuardo
Ndiyo.. wachezaji hawapressurize kutafuta mpira. Wanapelekeshwa tu.Kwenye mechi gani?
Ile na USA?
Kesho nayo ni siku.. enjoy your night Mkuuusingizi hauzuiliki...kesho wadau
Wamefuzu next stage