Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hahaha....
nasikitika kukuambia kuwa ambacho hakitaku-dissapoint hapo ni hiyo pisi kali pekee...!

That's all matters. Ndo usingizi wangu huo. Ihefu na US mwendo tumeunaliza way past expectations
 
USA jana wameupiga mwingi sana gafla nimejikuta nawashangilia yule dogo ao kiungo namba nane ni bonge moja la mchezaji aseee awa jamaa wakiendelea na project Yao yakuwekeza Kwa vijana Kuna timu za ulaya hazitwakamata
 
Usimfananishe uyo jamaa na vitu vya kipumbavu
Kwan hawaja fanana? Akat wamefanana wee vipi? Khaaaaah

Poleeeeee sanaaa, una tatizo wee sio buree, wahi tiba haraka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwan hawaja fanana? Akat wamefanana wee vipi? Khaaaaah

Poleeeeee sanaaa, una tatizo wee sio buree, wahi tiba haraka.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tiba ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…