BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mimi Tbc walinichosha wachezaji wanatembea kwa kusitasita kama wale wadudu wako kama panzi wanaitwa praying mantisJuzi nikasema ngoja nikaze na TBC kizalendo, daaah.
Goli likifungwa sioni limeingiaje nyavuni, mpaka likirudiwa ndo naliona flesh, nikasema isiwe tabu.