Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unatag kama kawaida.Subiri kwanza tumalize somo 🤣🤣🤣
Halafu ukishatag ukipost,unarudi kuedit.
Kwenye kuedit unaedit pale kwenye jina,unapachika maneno unavyotaka.
Mfano Numbisa.
Nilivyopost nikarudi Tena kuedit
Hapo nipo nafuta jina lake tu then naandika ninayotaka.