raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Watapigwa mabusu uwanjan hawa wanaume sio watu πKazi kwenu akina Depal View attachment 2431564
Samaleko boss mwenye nini yakeπ€£ kumbe zama za kale unazijua...eeh!!Wa vipaji.. samaleko β!!
Yeah wa zamani ilikua noma sana zaidi ya hawa wa sasa!!
Hii kila Mwafrika mpenda football anakumbuka vyema kabisa..Ghana mnakumbuka hiiView attachment 2431601
Mm naamini ww ni mdada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimecheka sanaaa,
sasa dear hata ikiwa kweli upindee, kwan nimewahi kuwaomba wao wani inamishe? Au kuwasumbua? Wao ndo wanahangaika na mie,
Tena nikiwapaga vibuti huko PM, wanakimbilia huku kunitukanaaa, weraaaaaaaah!!! Sijataka tyuuh kuwaumbua watu, mbna watu watabadili ID kwa lazimaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu ana hangaika na mie, kukunjwa 7 nikunjwe mie maumivu anaskia yeye, utadhan natumia kitobooo chakee, maajabu hayaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaskini na kukosa furaha ya maisha wanataka kupumzikia kwangu, akuuuuuh mie sio shida zangu. Life fupi hili na enjoy mwenyeweeeeee.
We live at once.!!!! Burudaaaaaaniiiiiii.
Ule umoto wao ndo uliwafanya wachanganyikiweHuyo Mpuuzi mmoja hapo aligeuka kuwa kipa..
Bromand mi wa zamani !πSamaleko boss mwenye nini yakeπ€£ kumbe zama za kale unazijua...eeh!!
Umeona eeeehhh!!Balaa wanawake hawana mbambamba
Safiii huku hakupoiUmeona eeeehhh!!
Boli lina raha yake hasa ushangilie ukiwa huna stress πNapenda sana bolii sis akee!!
Miss you π
π€£π€£π€£Anakua mpambe wa timu inayofunga kwamba Inategemea na matokeo π! Putin Hafaii huyooo
Kabisa hakupoi wala hakuboi... Inapendeza sana!!Safiii huku hakupoi
Hahahahaha nzuri zaidi mfunge weeeh raha yake hiooo si mchezoBoli lina raha yake hasa ushangilie ukiwa huna stress π
Miss you too
Itapendeza sanaKazi kwenu akina Depal View attachment 2431564
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikupingiiiiiii.Mm naamini ww ni mdada
SanaaaHahahahaha nzuri zaidi mfunge weeeh raha yake hiooo si mchezo