Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Brazil anakuwa Bingwa wa Kombe hili la Dunia linalofanyika Qatar mwaka huu wa 2022.
 
Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…