Australia ana mechi ngumu, maana Denmark akiwin2 anaenda 16 kwahyo hatokubali kirahisiLeo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
- France vs Poland
- Argentina vs Australia
Tunisia naye akishinda anasonga mbele, itategemea tu watashinda kwa magoli mangapiAustralia ana mechi ngumu, maana Denmark akiwin2 anaenda 16 kwahyo hatokubali kirahisi
Kushinda is one thing...., Kupita is quite Another.....Tunisia naye akishinda anasonga mbele, itategemea tu watashinda kwa magoli mangapi
Mimi naamini kama Tunisia leo wakiamua kupress na kuondoa indiovidual errors wanaweza kuwafunga France kwa sababu leo France hawatapress wala kutum ia nguvu sana ya pamoja
Ila inabidi ukubali aki za suarez.....very cleverHuyo Mpuuzi mmoja hapo aligeuka kuwa kipa..
Suarez alizingua Sana wakati huo, lazima tulipize kisasi this time.Ila inabidi ukubali aki za suarez.....very clever
Wazungu hawana noma as long as its a win win situationAisee wafaransa watu poa sana yaani wao wanajaza waafica tuu cha msingi unjua boli
The man had to do wat he had to do....hilo lazima tulikubali japo haiondoi maumivu alayotuletea waafricaSuarez alizingua Sana wakati huo, lazima tulipize kisasi this time.
Mbindi kwa miafrica...kazi kukandamizana tuu hasa wale wenye talentsWazungu hawana noma as long as its a win win situation
Wakati ule alikuwepo Asomoah Gyan, Ijumaa atakuwepo KudusUle umoto wao ndo uliwafanya wachanganyikiwe
Amini mkuuMbindi kwa miafrica...kazi kukandamizana tuu hasa wale wenye talents
Una maana gani?Kwanini DSTV wanaweka, Swahili na Kiswahili ni Lugha Mbili Tofauti?