Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia
Australia ana mechi ngumu, maana Denmark akiwin2 anaenda 16 kwahyo hatokubali kirahisi
 
Mechi ya Leo ina umuhimu mdogo sana kwa France, droo kwao ni ushindi kwa sababu inawafanya waongoze kundi. Kikosi kilichopangwa inaonyesha wazi wameamua kwapumzisha wachezaji wao muhimu
 
Australia ana mechi ngumu, maana Denmark akiwin2 anaenda 16 kwahyo hatokubali kirahisi
Tunisia naye akishinda anasonga mbele, itategemea tu watashinda kwa magoli mangapi
Mimi naamini kama Tunisia leo wakiamua kupress na kuondoa indiovidual errors wanaweza kuwafunga France kwa sababu leo France hawatapress wala kutum ia nguvu sana ya pamoja
 
Kushinda is one thing...., Kupita is quite Another.....
 
Back
Top Bottom