Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Majamaa Ni kama wanafanya mazoezi kidizaini, akili zao zimehamia kwenye hatua inayofuata maana wanajua hapa wameshapita.
France hawana pressure na ndio maana wanachezea mpira hata sehemu yao golini bila wasi wasi

Angalia hili shot offtarget waliofanya saizi France, unafikiri hii inhekuwa mechi muhimu angeshuti namna ile?
 
Inapendeza France wakikutana na Argentina ili tushuhudie mechi ya kisasi.
 
Sasa kama wanashindwq kupata magoli kwenye mechi nyepesi kama hii, je hiyo hatua inayofata wanayokutana miamba wakifika watamfunga nani?
 
Angekiwa refa wa bongo na kwa jinsi matumizi ya nguvu yamekuwa mengi kwenye mechi hii, kila tukio angekuwa anapiga filimbi mpaka mashavu yamvimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…