ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Njoo upate darasa, yaani michuano hii ukikaa ba mwanamke unaweza kuikimbia TV wallah![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo upate darasa, yaani michuano hii ukikaa ba mwanamke unaweza kuikimbia TV wallah![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
France hawana pressure na ndio maana wanachezea mpira hata sehemu yao golini bila wasi wasi
Angalia hili shot offtarget waliofanya saizi France, unafikiri hii inhekuwa mechi muhimu angeshuti namna ile?
Kitu cha tofauti si ndio hicho cha Tunis kushindwa kujiongeza
Inapendeza France wakikutana na Argentina ili tushuhudie mechi ya kisasi.France hawana pressure na ndio maana wanachezea mpira hata sehemu yao golini bila wasi wasi
Angalia hili shot offtarget waliofanya saizi France, unafikiri hii inhekuwa mechi muhimu angeshuti namna ile?
Yellow card inatolewa hapa upamde wa Tunis dakika ya 27
Wakati kule Dernmark ilitolewa dakika ya 3
Hawabebeki yani, hata wenyewe wakikaa nje ya uwanja wakijiangalia wanavyocheza watasema tu kuwa wamefanya uzembeIla Tunisia wazubaifu sana wameachiwa nafasi nyingi hadi pasi tamu ndani ya lango wameshindwa kufunga daah
Sijui wana pressure gani yaniTunisia wanakosa nafasi nyingi sana jamani..!!
Nafikiria Halftime ikiisha nikalale tuHii mechi ya Tunisia France naona kama natazama timu za Afrika zimekutana. Duh!
Waafrica hamna kuwaachia ni kuwakaziaa tuu maana wao hawakuachii ukiwa huku africa wanakuminya tuu ata kama boli unalijua. Mwafrica sio wakumuonea hurumu ni wakukandamiza tuuYaani humu Ufaransa kuna waafrika kuliko hata Tunisia sasa huyu Steve Mandanda si awaachie tu ndugu zake ili wapite....