Na bado😂Yaani Hawa Watu! Hivi Haya Mambo Hadi Lini?
1 kwa sufuriNgap ngap jmn, huku hamna umeme
Alimdop game ya Kwanza wakafungwa..acha tuone na Leo.Lisandro Martinez has been DROPPED by manager Lionel Scaloni for Argentina’s final group stage game
Asante1 kwa sufuri
Tunis 1 france sufuri
Dakika ya ngapi?1 kwa sufuri
Tunis 1 france sufuri
Kocha kazengua kuanzisha kikosi cha pili.Wafaransa wa humu mko wapi? Mbona mmeitelekeza timu yenu? Umuhimu wa Ustawi wa Jamii uko wapi sasa?
Ya 84Dakika ya ngapi?
Amejaribu kuwapa nafasi na wengineo ila dizaini kama aliwadharau TunisiaKocha kazengua kuanzisha kikosi cha pili.
Game na Australia walicheza kizembe sana.Tunisia hata wakitolewa hatua hii,kwangu mie wametolewa kwa heshima.....[emoji119][emoji119][emoji119]
ushaacha kutupia clip za magoli mkuu??😀
ushaacha kutupia clip za magoli mkuu??😀
Ndio mpira ulivyo,Game na Australia walicheza kizembe sana.