Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Ohooo..tusiempenda kaja...mbappe, rabiot...
Wamekumbuka blanket wakati asubuhi ishafika
Au revouir Tunisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo..tusiempenda kaja...mbappe, rabiot...
Both teams to score🤣Michuano hii kama ulifanya upgrade ya kifurushi chako, tanesco nao wakaamua kufanya upgrade ya kuwasha-kukata umeme.🤣
Uzuri hatuna Cha kupotezaYa 84
Mechi ya kwanzq mlifunga ngapi?Uzuri hatuna Cha kupoteza
msimu ujao tutajirekebisha ,ipo siku Africa itakuja kutikisa hii dunia kwenye michuano hii ya duniaInabidi ifike wakati timu za Afrika ziache uoga.
Kama wanaweza kucheza namna hii sijui kwa nini huwa wanapaki basi na timu kama Denmark na Australia!
Huna AkiliHiko kikosi ni Ihefu au?
TushafuzuMechi ya kwanzq mlifunga ngapi?
Hamna cha kupoteza ila inashusha CV hahaha yani hii itabaki kumbukukumbu kwa waTunis kuwa waliifunga France
Hili group tunisia ana point ngap, denmark anazo ngap???Tchouamen bonge la mido...Madrid waliona mbali sana
Bas inshallahmsimu ujao tutajirekebisha ,ipo siku Africa itakuja kutikisa hii dunia kwenye michuano hii ya dunia
Sio ww najua wao wachezaji wanaitaka hasa MbapeTushafuzu
Hatutaki CV ya sifa
Alimdop game ya Kwanza wakafungwa..acha tuone na Leo.
France 6Hili group tunisia ana point ngap, denmark anazo ngap???