πππ tayariUlimpatia pongezi Mkulungwa kwa kukuchosha vizuri we pisi kali [emoji848][emoji87]
tilfizyun yasinTVMbona inazunguka tu wala haina maajabu yoyote hiyo stream?
App gani inaonesha kombe la dunia vizuri Wakuu?
Yacine tv frm googleMbona inazunguka tu wala haina maajabu yoyote hiyo stream?
App gani inaonesha kombe la dunia vizuri Wakuu?
Dstv appMbona inazunguka tu wala haina maajabu yoyote hiyo stream?
App gani inaonesha kombe la dunia vizuri Wakuu?
Kisa nn? Wee muda umeenda sahiviKatika wazembe unaongoza
Wameogopa nini ...mbona Argentina Leo tunashinda hii game πππWapo ila hawajabeti
Mkuu upoYacine tv frm google
Asante...Dah! Pole kwa mkasa ila kwavile upo hai Mungu ni mwema
Acha tuangalie mbungi
Kuna mshikaji jana niliangalia nae yeye anasema kwake mke wake alikomaa aweke nyimbo za best naso kwenye sabufa akashindwa kuangalia mechi huku sabufa linapiga nyimbo za best nasoItabidi niwe mpole leo wageni wajomba zangu wamekuja homu wnaangalia upendo tv hapa hawataki hbr za mpiraa
Wacha nitulie Happ kwa upole huku nimeweka live score
Kibiashara hiyo ni riskWameogopa nini ...mbona Argentina Leo tunashinda hii game πππ
Sawa mkuu umesomekaKisa nn? Wee muda umeenda sahivi
Usiseme kwa sauti motivation speaker wakaonaAsante...
What doesn't kill us makes us stronger
π€£π€£Usiseme kwa sauti motivation speaker wakaona
Mfanyabiashara Ina bidi awe risk taker, ila naamini hii game ni yetuKibiashara hiyo ni risk
Argentina ni overratedHuyi Acuna kweli hana kitu
Risk zingine zinaweza kukuuwa kwa slesiMfanyabiashara Ina bidi awe risk taker, ila naamini hii game ni yetu