Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Itabidi niwe mpole leo wageni wajomba zangu wamekuja homu wnaangalia upendo tv hapa hawataki hbr za mpiraa

Wacha nitulie Happ kwa upole huku nimeweka live score
Kuna mshikaji jana niliangalia nae yeye anasema kwake mke wake alikomaa aweke nyimbo za best naso kwenye sabufa akashindwa kuangalia mechi huku sabufa linapiga nyimbo za best naso
 
Back
Top Bottom