Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1200] wafanye kweli bhanaaa, wawatupe nje hawa vi andunje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Argentina hii mechi yao, wanafika sana langoni kwa mpinzani

The same kwa Saud
 
Messi anajitahidi kutoa pasi nzuri ila wamaliziaji ndio mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…