FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Unafuatilia lakini ujinga anaouchza Argentina?[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafuatilia lakini ujinga anaouchza Argentina?[emoji1787][emoji1787]
Sare kwao wanapika supuKwani poland wameamua kupaki basi kwa faida gani?
Acha hzoUnafuatilia lakini ujinga anaouchza Argentina?
Prtyozsky 😄Sema hizi surname za kipoland za kibabe sana. Jina lina herufi hata 8 halafu humo kuna irabu hata 1 tu
Hao ndio vizabizabina wasiotutakia mema....😂😂😂Acha hzo
Mpira mda mwingi upo goli la polland halafu useme ujinga
Asa wanashindwa nn kufungwa mwisho watafungwaAcha hzo
Mpira mda mwingi upo goli la polland halafu useme ujinga
Mwanangu uyo namchemsha bongoHao ndio vizabizabina wasiotutakia mema....[emoji23][emoji23][emoji23]
Sanaaaaa.....Huyu kipa wa Poland ni fundi
football TVMbona inazunguka tu wala haina maajabu yoyote hiyo stream?
App gani inaonesha kombe la dunia vizuri Wakuu?
Unaangalia kimahabaDi Maria almanusura aweke goli la kichuya