Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna nini mkuu tupe updates
Kipa aliucheza mpira ila wakati anaucheza kuna kipande cha shati kilimgusa Messi, Messi alianguka kwa kugaragara

Sasa si unajua mambo ya VAR huwa haioneshi ile force kutokana na slow motion. So mwamuzi akatafsiri kuwa ni foul na kwasababu ilikuwa ndani ya box akafunika tuta

Golikipa yuko vizuri sana, ningependa kuona mwisho wa mashindano anachukua tuzo ya ugolikipa bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…