Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Mwenye video ya penati atume mm niliuza t.v nikampa hela jamaa wa ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arg alipata penalty kwa madai ya kafanyiwa madhambi kwenye box. Messi kapiga penalty...kaikosa. aka poland kaipanguaKuna nini mkuu tupe updates
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kwan unataka nn? LolSijakuelewa uko upande upi taja timu moja kwa moja
Saud anapumulia mashine.Anayeangalia mechi ya saud vp nani ameelemewa
Ndo starAsa kwa nn walimpatia apige?
Saudi wameniangusha, nafasi ya kufuzu wanayo.Wameshindwa wenyewe tu.Yaani wanashindwa kumfunga mexico.Saud anapumulia mashine.
Si alikuwa arsenal au umemsahau ?Huy kipa nimeangalia saves alizofanya nikawa na imani naye sio mbahatishaji, huyu ni kipa kweli sio VHS
Argentina vs France mtoano, patamu hapo.Poland hata wakitoka wote wakamuacha kipa bado mechi itaisha kwa sare
Tulipata penati ya magumashi ila messi kakosaKuna nini mkuu tupe updates
U star kwenye vitu vya muhimu?Ndo star
Sawa tunamiliki mpira ila Argentina kwa mpira huu hatufiki mbali kabisa inakatisha sana tamaaWachezaji wote wa Argentina wakipata mpira wanamtafuta Messi wakati kuna wachezaji wengine wapo kwenye nafasi nzuri tuu
WanazinguaBado kule golini hawaonanii
Madam kaangalie wasifu wa Ochoa..ni basi tu Arg alimbahatisha juzi. Ila Ochoa si mtoto eti. Afu kule magoal keeper wote wawili wako vizuri..si muarabu si wa mexicoSaudi wameniangusha, nafasi ya kufuzu wanayo.Wameshindwa wenyewe tu.Yaani wanashindwa kumfunga mexico.
Asante mkuu.. mtupe Kama hivi tunawategemeaArg alipata penalty kwa madai ya kafanyiwa madhambi kwenye box. Messi kapiga penalty...kaikosa. aka poland kaipangua
Kipa aliucheza mpira ila wakati anaucheza kuna kipande cha shati kilimgusa Messi, Messi alianguka kwa kugaragaraKuna nini mkuu tupe updates