Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yes ...mtu wa mwisho ni mchezaji yoyote
Hiyo ndio logic niliyokuwa najaribu kuwasilisha, watu humu hawajui sheria ila wapo kukosoa vitu bila msingi.


Hapo hakuna maswala ya kibinadamu, huo mpira tu una chip ambayo haiwezi kukosea vitu vidogo kama hivyo, wabongo wapo busy kukosoa kwa macho[emoji23].
 
Ndio Qatar 🇶🇦 mchezaji wake wa mwisho hakuwa golikipa na sheria haisemi kuw lazima awe golikipa ..hivo offside inahesabiwa kwa kulinganisha wa mwisho yoyote na yule anayekuja kufunga au mpinzani
Kichwa changu basi kigumu mkuu 😂
Unaweza kunipa ufafanuzi mzuri zaidi? Samahani lakini
 
Reactions: Lee
Hujadanganya. Ni kweli kabisa. Jamaa yangu yupo kule analalamika kwelikweli. Minyani meusi imelilia kushika madaraka matokeo yake ndio hayo. Akili ya mtu mweusi imeshikiliwa na mk**u
 
Kichwa changu basi kigumu mkuu 😂
Unaweza kunipa ufafanuzi mzuri zaidi? Samahani lakini
Hahahahahah mkuu wala sio kigumu ...ili iwe offside inatakiwa uwepo wa mchezaji aliyezidi mwenzake mbele ya mpira namanisha mpinzani kipindi wanashambulia ...timu inayoshambulia wanahesabiwa wawili either wa kwanza awe kipa au mchezaji mwingine na wa pili ambaye atatumika kupima ka mpinzaji kazidi...so hapo kweli kipa alikuwa katoka na wachezaji wawili wa Qatar walikuwa nyuma ya mbili ila mmoja alizidiwa mguu na Ecuador
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…