Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Majirani wa Carrasco putin haipendi Argentina na anaipenda Saudia. Popote alipo najua yuko kwenye discussion na moyo wake either auchukue uhai wake(ajinyonge) au aishi. Majirani wake mtafuteni kabla hajaenda na option ya kwanza
 
Majirani wa Carrasco putin haipendi Argentina na anaipenda Saudia. Popote alipo najua yuko kwenye discussion na moyo wake either auchukue uhai wake(ajinyonge) au aishi. Majirani wake mtafuteni kabla hajaenda na option ya kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] serious siku yangu imeshaharibika kbsa Ila safari ya Argentina inanukia
 
Timu inayocheza nayo Argentina "Poland" ni DHAIFU saaaana, tunza huu ujumbe utaufufua Argentina atakapopigwa kwenye hatua za mtoano au robo fainal.
Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako
 
Argentina [emoji1033] imetukanwa mno humu ndani shenzi type leo tumeonyesha mabingwa wa World Cup 2022 ni kina nani
Hongera kwa ushindi

Ila Mkuu hili kundi Argentina alitegemewa kuongoza kwa pointi tisa toka makundi yametoka

Basi tu muarabu alimuotea ya uso moja

Kipimo halisi ni kuanzia robo na nusu fainali akitoboa huko utajisifu maana wanaofika huko wako vizuri

Sio kama sasa hivi hizi timu zinazoongoza magroup zinacheza na timu zilizoshika 2nd place ambao wengi wao ni tia maji tia maji

Kwa mfano argentina anaenda kukutana na muastralia ambako lazima amchape za kutosha...kuanzia hapo ndo atapata vikwazo vikubwa



(Toa denmark wek australia apo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…