Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako
Mkuu kila siku sio jumanne!
 
Yaani wote wamevurugwa,halafu wamesahau Mexico akifunga magoal mengi,wanatolewa. Yani Poland wanaudhi.
Mitimu yote uliyoingia last match needing a draw inapigwa kwa sababu ya negative mindset.
Jamani huyo kcha fukuza kabisa mie ningekuwa zielinski ningemtukana kocha. Wee mie napoli nacheza loli hapa unaniambia nikabe dakika zote tisini...upuuzi huu
 
Mkuu watapigika vbaya sana na Mesi wao akiwemo.. Huyu Argentina hata wale mabishoo wa Brazil wanafunga vizur tu

Hao mabishoo walikosa Copa America mbele yao[emoji16][emoji16] acheni kuhates. Messi anawaumiz kichwa sana haters damn!!

We are going to the final! Insha Allah!![emoji1488]

Vamos Argentina🤍[emoji170]
 
Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako
Kwani wewe matako si yako au ni ya Arse8?

Akili, akili l, akili.
 
Back
Top Bottom