Huna namnaaaNmejiunga kwenu
Huu utabiri wako ulikuwa usingizini?Us out
Argentina out
Uruguay out
Muache beibe wanguNdiyomaana hata akikuchombeza "I love you" unampotezea sababu tu hashabikii unachoshabikia wewe[emoji848][emoji1787]
Mkuu kila siku sio jumanne!Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako
Kbsa yani anakutana na vibonde sana ngoja akutane na mziki wa France, Brazil, Au SpainMkuu watapigika vbaya sana na Mesi wao akiwemo.. Huyu Argentina hata wale mabishoo wa Brazil wanafunga vizur tu
Kwa mpira huu Argentina atakuwa katereza kizembe sana hadi nusu fainali, England hana mpira mara mia angekuwa France au Brazil.Robo fainal ni Argentina na Britain
Mitimu yote uliyoingia last match needing a draw inapigwa kwa sababu ya negative mindset.Yaani wote wamevurugwa,halafu wamesahau Mexico akifunga magoal mengi,wanatolewa. Yani Poland wanaudhi.
Nimekufuata mdogo wangyHuna namnaaa
Tell herMuache beibe wangu
Hawa wanasiasa wapigwe tuSema Poland walikuja wc na mkwara mkubwa sana. Eti ndege yao ikasindikizwa na F-16 mbili
Sawa Ozil, Na Macho Yako Ya Kulegea HayoBila Shaka utakuwa unatizama mechi kupitia tbc
Mkuu watapigika vbaya sana na Mesi wao akiwemo.. Huyu Argentina hata wale mabishoo wa Brazil wanafunga vizur tu
Kaka ufaransa siwapend Ila weka Mbali na watoto hata Brazil sitak wakutane na ufaransa wale Jamaa ni [emoji91][emoji91][emoji91]Ata france anaweza banwa mbavu
Na ubaya zaidi ni mechi moja tu mtu anakaa
Safari ya kwenda wapi. Kwa huu mziki Australia akipona ni kala goli 4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] serious siku yangu imeshaharibika kbsa Ila safari ya Argentina inanukia
Nimekuvutaaaa umevutikaaNimekufuata mdogo wangy
Mm naichukia Argentina [emoji34][emoji34]Wote wangu ila Argentina naipenda zaidi
Kwani wewe matako si yako au ni ya Arse8?Tumempiga Brazil [emoji1054] tukabeba Copa America Tukampiga Italy [emoji634] tukabeba Conmebol Cup tukaenda 36 games unbeaten bro what are you talking about?upo serious wewe?Argentina [emoji1033] kufungwa na Saudi Arabia ni Argentina [emoji1033] Alidharau game na ni mbaya sana kudharau game huyo unayemsema ni mkubwa kwetu nani?England?France?matako yako
Mmejikaza sana robo nyinyiHao mabishoo walikosa Copa America mbele yao[emoji16][emoji16] acheni kuhates. Messi anawaumiz kichwa sana haters damn!!
We are going to the final! Insha Allah!![emoji1488]
Vamos Argentina🤍[emoji170]